Monthly Archives: September 2010

Mdee: Mbele kwa mbele

Mdau Halima Mdee, moja kati ya wabunge machachari katika bunge lililomaliza muda wake katika moja ya mikutano yake huko jimboni kwake Kawe amewataka wananchi kuwa makini wakati huu na wachague viongozi watakao kuwa tayari kuwatetea na si wale wanaotaka nafasi … Continue reading

Posted in Uncategorized | 2 Comments