Mdee: Mbele kwa mbele

Mdau Halima Mdee, moja kati ya wabunge machachari katika bunge lililomaliza muda wake katika moja ya mikutano yake huko jimboni kwake Kawe amewataka wananchi kuwa makini wakati huu na wachague viongozi watakao kuwa tayari kuwatetea na si wale wanaotaka nafasi hizo kwa manufaa yao binafsi.

Mdee alikuwa ni mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CHADEMA lakini safari hii ameamua kuachana na viti maalum na kugombea kwa tiketi ya chama chake cha CHADEMA katika jimbo hilo la Kawe

Halima Mdee moja kati ya mikutano yake (picha kwa hisani ya IPP)

we

Advertisements
Posted in Uncategorized | 2 Comments